IQNA

Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Misri Kufanyika kwa Heshima ya Sheikh Abdel Fattah Shaasha’i

Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Misri Kufanyika kwa Heshima ya Sheikh Abdel Fattah Shaasha’i

IQNA – Mashindano ya kimataifa ya Qur’ani ya Misri ya mwaka huu yatafanyika kwa kumbukumbu ya qari mashuhuri marehemu Sheikh Abdel Fattah Shaasha’i.
22:52 , 2026 Jun 05
Israel yatumia maafisa wenye misimamo mikali ya Kiyahudi kwa doria katika Msikiti wa Al‑Aqsa

Israel yatumia maafisa wenye misimamo mikali ya Kiyahudi kwa doria katika Msikiti wa Al‑Aqsa

IQNA – Eneo takatifu na muhimu kwa Waislamu katika mji mtukufu wa al‑Quds (Jerusalem) litaanza kusimamiwa na maafisa wa polisi wenye misimamo mikali wa Kiyahudi wa mrengo wa kulia.
22:45 , 2026 Jun 05
Mji wa Tehran washuhudia matembezi ya kilomita 10 katika Siku Kuu ya Ghadir

Mji wa Tehran washuhudia matembezi ya kilomita 10 katika Siku Kuu ya Ghadir

IQNA - Joto kali la mwezi Juni katika barabara za Tehran halikuweza kupunguza hamasa na shauku ya wananchi waliojitokeza kushiriki katika “Ugeni wa Ghadir wa Kilomita 10”.
22:23 , 2026 Jun 05
Kundi la Waislamu Kanada Lapya Wito wa Mkakati wa Kukabiliana na Chuki Dhidi ya Uislamu

Kundi la Waislamu Kanada Lapya Wito wa Mkakati wa Kukabiliana na Chuki Dhidi ya Uislamu

IQNA – Miaka mitano baada ya mwanaume mmoja kuendesha kwa makusudi gari aina ya pickup na kuigonga familia ya Kiislamu iliyokuwa ikitembea kwa miguu mjini London, katika jimbo la Ontario, Kanada, na kuwaua watu wanne, kundi la kitaifa la utetezi wa haki za Waislamu limesema kuwa serikali ya shirikisho imeshindwa kutekeleza mapendekezo muhimu ya kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu.
22:17 , 2026 Jun 05
Kiongozi Muadhamu: Mahasimu wa Iran wanatumia mbinu za

Kiongozi Muadhamu: Mahasimu wa Iran wanatumia mbinu za "vita vya mseto" baada ya kushindwa vibaya kijeshi

IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei amesema mahasimu wa Iran wamegeukia mbinu za "vita vya mseto" baada ya kushindwa vibaya mbele ya vikosi vya ulinzi vya nchi hii na kusisitiza kuhusu umoja na umakini wa kitaifa ili kusambaratisha njama za maadui.
17:57 , 2026 Jun 04
Wairani waadhimisha mwaka wa 37 tokea alipoaga dunia Mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu Imam Khomeini

Wairani waadhimisha mwaka wa 37 tokea alipoaga dunia Mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu Imam Khomeini

IQNA-Wananchi wa Iran wa matabaka mbalimbali wameshiriki katika marasimu mbalimbali ya maadhimisho ya kumbukumbu ya mwaka wa 37 tangu kufariki dunia Imam Ruhullah Musavi Khomeini (M.A) Muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
17:48 , 2026 Jun 04
Misafara ya mazishi ya Shahidi Imam Khamenei kufanyika Tehran, Qom na Mashhad

Misafara ya mazishi ya Shahidi Imam Khamenei kufanyika Tehran, Qom na Mashhad

IQNA – Misafara ya mazishi ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, inatarajiwa kufanyika katika miji mitatu ya Iran, kwa mujibu wa taarifa ya afisa mmoja.
17:58 , 2026 Jun 03
Misahafu ya kale katika Hazina ya Haram ya Imam Ali (AS) yaonyeshwa Najaf

Misahafu ya kale katika Hazina ya Haram ya Imam Ali (AS) yaonyeshwa Najaf

IQNA – Kazi na maandiko ya kale yenye thamani kubwa, yakiwemo nakala za Qur’ani (Misahafu) kutoka hazina ya Alawi, zinaonyeshwa katika mji wa Najaf, Iraq, katika mfumo wa programu za Wiki ya 15 ya Ghadir.
17:44 , 2026 Jun 03
Idhaa ya Qur’ani ya Misri Yaaanza Kurusha Tarteel ya Sheikh Minshawi

Idhaa ya Qur’ani ya Misri Yaaanza Kurusha Tarteel ya Sheikh Minshawi

IQNA – Idhaa ya Qur’ani Tukufu ya Misri, yenye makao yake Cairo, imeanza kurusha hewani usomaji wa Qur’ani kwa mtindo wa tarteel wa miaka ya 1960 wa qari mashuhuri Sheikh Mohamed Siddiq El‑Minshawi.
17:36 , 2026 Jun 03
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Kiislamu Walaani Kuvamiwa kwa Msikiti wa Al‑Aqsa na Walowezi wa Israel

Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Kiislamu Walaani Kuvamiwa kwa Msikiti wa Al‑Aqsa na Walowezi wa Israel

IQNA – Nchi kadhaa za Kiislamu zimelaani vikali kuvamiwa kwa viwanja vya Msikiti wa Al‑Aqsa na walowezi wa Kizayuni wa Israel katika Al‑Quds (Jerusalem) ya Mashariki iliyo chini ya ukaliaji mwishoni mwa wiki hii.
17:27 , 2026 Jun 03
Mkuu wa Kamati ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Iran ateuliwa

Mkuu wa Kamati ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Iran ateuliwa

IQNA – Mkuu wa kamati ya maandalizi ya Toleo la 42 na 43 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangazwa.
13:36 , 2026 Jun 02
Wahubiri wageni watembelea vivutio vya kihistoria vya kidini nchini Misri

Wahubiri wageni watembelea vivutio vya kihistoria vya kidini nchini Misri

IQNA – Chuo cha Kimataifa cha Al-Azhar nchini Misri kiliandaa programu ya ziara ya maimamu, wahubiri na walinganiaji wageni kutembelea vivutio vya kihistoria vya Kiislamu na Kikristo katika eneo la Fustat.
13:32 , 2026 Jun 02
Mahujaji Wapokea Nakala Milioni 1.9 za Qur’ani wakati wa kuondoka Saudia

Mahujaji Wapokea Nakala Milioni 1.9 za Qur’ani wakati wa kuondoka Saudia

IQNA – Wakiwa na mizigo mikononi mwao lakini nyoyo zao zikiwa bado zimejaa athari za ibada za Hija, mahujaji waliokuwa wakiondoka walikabidhiwa kila mmoja zawadi yanakala ya Qur’ani Tukufu.
13:26 , 2026 Jun 02
Kuunganisha Dini na Jamii katika Kituo cha Kiislamu cha Vila Cahón nchini Brazil

Kuunganisha Dini na Jamii katika Kituo cha Kiislamu cha Vila Cahón nchini Brazil

IQNA – Kituo cha Kiislamu cha Vila Cahón huko São Paulo, nchini Brazil, kina nafasi kubwa zaidi ya kuwa taasisi ya kidini pekee.
13:19 , 2026 Jun 02
Fainali za Mashindano ya 19 ya Kimataifa ya Qur’ani ya “Mafaza”

Fainali za Mashindano ya 19 ya Kimataifa ya Qur’ani ya “Mafaza”

IQNA – Raundi ya fainali ya Mashindano ya Qur’ani yanayorushwa mubashara kupitia televisheni, “Inna lil-Muttaqina Mafaza” (Hakika kwa wachamungu ipo mafanikio/maokoleo), inatarajiwa kufanyika baadaye wiki hii.
15:22 , 2026 Jun 01
1