Habari Maalumu
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei amesema mahasimu wa Iran wamegeukia mbinu za "vita vya mseto"...
04 Jun 2026, 17:57
IQNA-Wananchi wa Iran wa matabaka mbalimbali wameshiriki katika marasimu mbalimbali ya maadhimisho ya kumbukumbu ya mwaka wa 37 tangu kufariki dunia Imam...
04 Jun 2026, 17:48
IQNA – Misafara ya mazishi ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, inatarajiwa kufanyika katika miji mitatu ya Iran,...
03 Jun 2026, 17:58
IQNA – Kazi na maandiko ya kale yenye thamani kubwa, yakiwemo nakala za Qur’ani (Misahafu) kutoka hazina ya Alawi, zinaonyeshwa katika mji wa Najaf, Iraq,...
03 Jun 2026, 17:44
IQNA – Idhaa ya Qur’ani Tukufu ya Misri, yenye makao yake Cairo, imeanza kurusha hewani usomaji wa Qur’ani kwa mtindo wa tarteel wa miaka ya 1960 wa qari...
03 Jun 2026, 17:36
IQNA – Nchi kadhaa za Kiislamu zimelaani vikali kuvamiwa kwa viwanja vya Msikiti wa Al‑Aqsa na walowezi wa Kizayuni wa Israel katika Al‑Quds (Jerusalem)...
03 Jun 2026, 17:27
IQNA – Mkuu wa kamati ya maandalizi ya Toleo la 42 na 43 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangazwa.
02 Jun 2026, 13:36
IQNA – Chuo cha Kimataifa cha Al-Azhar nchini Misri kiliandaa programu ya ziara ya maimamu, wahubiri na walinganiaji wageni kutembelea vivutio vya kihistoria...
02 Jun 2026, 13:32
IQNA – Wakiwa na mizigo mikononi mwao lakini nyoyo zao zikiwa bado zimejaa athari za ibada za Hija, mahujaji waliokuwa wakiondoka walikabidhiwa kila mmoja...
02 Jun 2026, 13:26
IQNA – Kituo cha Kiislamu cha Vila Cahón huko São Paulo, nchini Brazil, kina nafasi kubwa zaidi ya kuwa taasisi ya kidini pekee.
02 Jun 2026, 13:19
IQNA – Raundi ya fainali ya Mashindano ya Qur’ani yanayorushwa mubashara kupitia televisheni, “Inna lil-Muttaqina Mafaza” (Hakika kwa wachamungu ipo mafanikio/maokoleo),...
01 Jun 2026, 15:22
IQNA – Kwa kuanzisha akademia ya Qur’ani, madada wawili mjini Pristina, mji mkuu wa Kosovo, wameweza kuwafundisha mamia ya watoto namna ya kusoma na kuhifadhi...
01 Jun 2026, 15:14
IQNA – Kwa lengo la kuizidisha safari ya kiroho ya mamilioni ya wanaouzuru Msikiti wa Mtume au Al Masjid An Nabawi huko Madina Al-Munawwara, umeanzishwa...
01 Jun 2026, 15:07
IQNA – Idara ya Mfawidhi au Msimamizi wa wa Haram Tukufu ya Imam Ali (AS) mjini Najaf, Iraq, Jumapili imetangaza kuanza kwa shughuli za Wiki ya 15 ya Kimataifa...
01 Jun 2026, 14:49
IQNA – Wengi wanaamini kuwa kurekodiwa kwa Surat Yusuf kulikuwa mgeuko wa kweli katika maisha ya Sheikh al-Sayyid Saeed, na mafanikio hayo makubwa yakamfanya...
31 May 2026, 21:55
IQNA – Sheikh Hajj Muhannad Tayeb, msomi mashuhuri na mfasiri wa Qur’ani Tukufu nchini Algeria, amerejea kwa Mola wake siku ya Jumamosi.
31 May 2026, 21:47